Podcast
Questions and Answers
Ni lengo gani kuu ambalo kwa hilo Allah ametuumba sisi wanadamu?
Ni lengo gani kuu ambalo kwa hilo Allah ametuumba sisi wanadamu?
- Kuishi vyema na kuwasaidia wengine
- Kutimiza kusudi fulani na kuacha alama katika maisha ya duniani
- Kumuabudu pasina kumshirikisha na chochote (correct)
- Yote ni majibu sahihi
Ni namna gani sahihi ya kumuabudu Allah?
Ni namna gani sahihi ya kumuabudu Allah?
- Kwa kufanya yale mema kwa jamii
- Kwa namna alivyotufundisha Mtume wetu صلى الله عليه وسلم (correct)
- Kwa kuswali, kutoa zaka, kufunga ramadhani na kuhiji kama wafanyavyo watu
- Kwa kutoa sadaqa na kusimama usiku
Je Allah yuko mahali gani?
Je Allah yuko mahali gani?
- Kila mahali
- Msikiti mtukufu wa Makkah
- Juu ya Arsh (correct)
- Kwenye Kaaba
Ni ipi faida kubwa ya mtu kuwa na Tawheed?
Ni ipi faida kubwa ya mtu kuwa na Tawheed?
Ni kundi lipi lina beba masharti ya kukubalika kwa ibada?
Ni kundi lipi lina beba masharti ya kukubalika kwa ibada?
Ni dhambi ipi kubwa mbele ya Allah?
Ni dhambi ipi kubwa mbele ya Allah?
Je wafu na Maiti wanatusikia tukiwaomba?
Je wafu na Maiti wanatusikia tukiwaomba?
Je, Kuna yoyote ana elimu na ufahamu juu ya mambo yaliyojificha?
Je, Kuna yoyote ana elimu na ufahamu juu ya mambo yaliyojificha?
Je ni kipi tuna hukumu nacho waislamu?
Je ni kipi tuna hukumu nacho waislamu?
Ni mahali gani tunapaswa kurejea pale tunapo khitilafiana?
Ni mahali gani tunapaswa kurejea pale tunapo khitilafiana?